Gosby - NOMA lyrics

Published

0 294 0

Gosby - NOMA lyrics

Verse 1 {Gosby} Ebu/Ebu Chill na mi/Achana na Plan A situko na Plan Z/ Mandugu Digital na sikuambii/ Coach like Dunga wad up Ambii/ All these rappers man they sound like me/ Yeah they tryna be like me/ Usilete sifa zako si hatuf*gii eti that car yani kama ya Dadii/ Na Iphone 6 nimepewa na Dadii aliniletea alivyorudi toka Dubai/ Na hizo mbwembwe zako si hatuzimii so usilete shobo mtoto mdogo/ Wanangu hawana kitu yani unga robo huh so don't play that move/ Pembeni nimechill na bee Cindy Rulz hatuna wasi tunaagiza tu boose/ Chorus Huh unaona noma, niambie basi pale ambapo leo kumeshona huh/ Huh mbona unasonya , machizi hawanywi bia wanangu wanapiga konyagi/ X 2 Verse 2 {Gosby} Yeah/ Mi na shine like Mido ukiniona Elements mi na shine like Mido/ High than a kite utadhani nimepiga needle white girl yale mambo ya needle/ Gosby Brigante yeah they call me Carlito/ Gugosquavez yeah they call Carlito/ Watoto wakishua tushawakimbiza, Bang mbaya Omary Kimbisa/ Ball so hard n***a K. Twisa/ We paramia mizigo kesho tunakuzika leta Hennessy kama Ciroc imekwisha/ Coz I got like 20thou with me USD sio madafu baby/Usilete drama Bongo kuna TMZ/ Shout out to Ramaman my n***a bought B.E.N.Z/ Tukienda Chang'ombe yani mambo mapenzi/ Chorus Huh unaona noma, niambie basi pale ambapo leo kumeshona huh/ Huh mbona unasonya , machizi hawanywi bia wanangu wanapiga konyagi/ X 2