Gosby - BLAME ON ME lyrics

Published

0 207 0

Gosby - BLAME ON ME lyrics

Chorus Even though I didn't treat you right but Listen mama you can blame on me {go blame on me} Hata sikuwahi kukumake you happy but but you can blame on me {go blame on me} x 2 Verse 1- Gosby I know love is a battle and I wasn't ready to settle Ulinipenda lakini bado, nilikufanyia mizinguo kibao Na kila mara tu niko na masistaduu Gangstar in the hood and I was so rude Chorus Verse 2 - Godzilla Haiyakua mapenzi sinema ndugu zako wanashinda Wakisema wanaomba nife mapema Sababu sikukutunza vema Mdomoni unatajia ka slogan Mwilini unanihitaji kama organ Nimekua heritage kama Morgan Unalia kama umeona my Jordan Ulitaka tuwe ka Beyonce na Jigga Simu nakata ukipiga, uko nyumbani unalia baby Niko Club naruka madebe na umelia sana don't stop Nimekuliza sana non stop mpaka your mama and papa Wanaona yani bora ungeniacha mi ni Zilla Chorus X 2 Brigde