Fitzon Dai - Kilio Chetu lyrics

Published

0 172 0

Fitzon Dai - Kilio Chetu lyrics

INTRO; Fitzon Dai Beiby.. The Changamka Starz Music.. Yeaahhh VERSE 1: It's about the time,kusimama ka Simba pale Jungle, Na sitawai go down,coz nahisi Kuna nguvu za holy Spirit zinaniinua juu, Na, najua nitafika ,coz tayari meli ishangoa nanga, Na akuna kuzama hadi, Niflight juu nifikie Obama, Na kaa unabiff si ungekuwa Osama, Bt usijali,tunahisia tofauti, Ila Ni Mungu peke anayepanga na kupangua, Na sisi wanadamu tukipangiwa mazuri, wengine wanapagua, Inauma,bt lakini itabidi Kuzoea tu (Manze) Fitzon Dai am goner be stronger,na akuna atakaye nionga, Coz age ya explanation ilishadai,na Mimi nadai kuchange career, Ndio wale wanijui,watashika Doria vizuri.. Na mafans msijali,hivo ndo Safari hukua CHORUS: Mungu, Sikia Kilio Cha Wakenya Sikia Kilio Cha wasani Sikia Kilio Cha Mapastor Mayatima,Maskini,Matajiri,wangonjwa Wasikizee.. Dunia nzima inakulilia.. Wanadamu,Wanyama pori,Samaki,Ndenge Wadudu.Wote wanakutegemea na bila wewe atuwezi, Na wengi wao wamepoteza imani, Mungu uwalinde na.. uwaongozee.. VERSE 2: Ni Safari,bt kila binadamu Ni mpita njia, Awe tajiri, awe maskini Wote tuko sawa ukifuatilia,Mungu anawaskiza pia wale wanao mlilia, Na usichoke kumuomba,ipo siku pia wewe atakupatia, Ukipanda milima na mabonde,bado anakutazamia, So wewe usijali (sijali),Safari Ni kuvumilia Dunia ni tamu, bt Kuna wanadamu wana aribu, Wanajifanya wanajenga,kumbe nyuma yao Wana majitu za kubomoa, Mna bahati, Kuna wanadamu wenye utu duniani, Wale wa kupita na kujione, Ni uchungu, lakini yote tunamwachia Maulana, Na tuombe kwa sana,juu dalili zishaonekana Jua kujilinda na ukawalinde wenzako pia, I dream, I used to glance beyond the stars, Bt sai nafahamu mahali nilipo Ni Mimi na Mungu wangu, Coz 2021,ndio ile mwaka naisubiria(hio ipo Manze) CHORUS: Mungu, Sikia Kilio Cha Wakenya (waskizee) Dunia nzima inakulilia.. Wagonjwa,watoto wadogo wanakufa(inauma) Sikia Kilio Chao(tunawapoteza Manze) Wanaume wan*lia, WASKIZEE Dunia nzima inakulilia...(eeh Manze) Sikia Kilio Cha Walimu, Madaktari,Madereva, na viongozi, Wote wanakutegemea,coz they need you OUTRO: Fitzon Dai..niskize ENDEVER CLA$$IC SHOW ME RECORDS.