Elani - Hapo Zamani lyrics

Published

0 1115 0

Elani - Hapo Zamani lyrics

[Verse 1: Wambizzy] Rauka jamaa, kumekucha Miaka kumi na sita, kidato cha kwanza Pokea salam, siku mpya Insyder za kwanza, zasifiwa boma Kaipokea tetesi, mwaja shule ni wikendi Barua uliyoituma imeshasoma na Sijaweza kupumua, moyo wangu waridhika Sijaweza kupumua [Hook] Hapo zamani nikajua ningekuoa Hapo zamani ukiambiwa Unapendwa, waamini Ukipendwa, una imani [Verse 2: Maureen] Nilikuwaza sana michana kutwa Wewe sukuma mimi ugali wishwa Na tulipendana kinyama Nikaipokea tetesi, una mwingine Akula mishikaki, aishiye kifahari Mi sikuweza kupumua, moyo wangu kavunjika Sikuweza kupumua [Hook] [Verse 3: Brian Chweya] Sikujua, miaka kumi na sita Siyo miaka, ya kuelewa dunia Sikujua, miaka kumi na sita Siyo miaka, ya kuelewa mahaba Woyoooo, Woyoooo, [Hook]