Ed Patrick Mugisho - Neno Lako ni Taa lyrics

Published

0 326 0

Ed Patrick Mugisho - Neno Lako ni Taa lyrics

Nime zunguka kufanya utafiti Nimesoma vitabu mbali mbali nikitafuta kuelimika mimi Ila sikujua kunacho kitabu kimebeba hekima na maarifa yote Ndani yake muna majibu ya kila swali Nime soma vitabu vingi Ila kinacho elimisha zaidi ni neno la Mungu huu uu huhu Nimeso ooh soma vitabu vingi Ila kinacho elimisha zaidi ni Biblia Mungu nime gundua Neno lako lina majibu ya maswali yangu Mimi nime gundua Neno la Mungu ndilo suluhisho ho ho ho Oh yes hallelujah Neno lako ni taa ya miguu yangu Neno lako mwanga wa njia yangu Neno lako ni taa ya miguu yangu Neno lako mwanga wa njia yangu Mimi natamani ku tembea na neno lako kila wakati Nahitaji kuishi ku lingana na neno Natamani ku tembea na neno lako kila wakati Nahitaji kuishi kulingana na neno Nitasoma soma soma Soma neno oh _(Mimi nitasoma neno)_ Soma neno oh oh _(Asubui mchana na jioni nitasoma Biblia)_ Soma neno oh _ (Nitasoma soma)_ Soma _(Hilo neno hilo neno hilo neno)_ La okoa _(La okoa Walio fungwa)_ La inua _(Nitasoma hilo neno)_ La bariki (Oh lainua wanyonge ) La fariji (hilo neno hilo neno lake Bwana Linaponya _(Lina ponya magonjwa yote)_ Neno lako ni kweli Hilo Neno Nitasoma Biblia yangu Hilo Neno Neno lako ni taa ya miguu yangu _( Baba hilo Neno)_ Neno lako mwanga wa njia yangu _(Lani angazia ninapo shindwa)_ _(Lani angazia katika giza)_ _(Lani fariji ninapo vunjika moyo)_ Neno lako ni taa ya miguu yangu Taa ya miguu yangu Ni angazie Bwana Ni mulikie njia Baba Mwanga wa njia yangu Neno lako mwanga wa njia yangu Heehhh Taa ya miguu yangu Uuuuh Neno lako mwanga wa maisha yangu