Diamond Platnumz - Moyo Wangu lyrics

Published

0 759 0

Diamond Platnumz - Moyo Wangu lyrics

(Chorous) Moyo wangu..Moyo wangu mama.. Moyo wangu mimi umeniponza mama! Moyo wangu,Moyo wangu mama, Moyo wangu mimi umeniponza mamaa (Verse one) Upole wangu simanzi Eeeh! Kwangu kupenda maradhi iiih! Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina... jichoni kwangu kibanzi Eeeeh! ninakapenda kamanzi Iiih! Oooh Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina.... Ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi yanayonipa mateso, Ukweli hatakupenda sina raha! ona nakonda kwa mawazo. Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara Eeeh! Mara Iiiiii! Hata najuta kupenda.... (Chorous) Moyo wangu..Moyo wangu mama.. Moyo wangu mimi umeniponza mamaa! Moyo wangu,Moyo wangu mama, Moyo wangu mimi umeniponza mamaa (Vearse two) Nikutwa kucha maneno,kosa si kosa maneno ilimradi tu karaha tantalila! (Sina raha) Ona sina tena mipango (aah ho aah!) Kutwa nzima nnamawazo jina Mh! aaaah! Sina raha Oooh! mama Tamu ya wali ni nazi Eeeh! Raha ya supu mandazi iiih! Raha yangu me kupendwa tu naye lakini nyota sina. Laana napata na radhi Eeeh! Nawakufuru wazazi iii! Kwakung`ang`ana me kutaka kuwa nae lakini bahati sina! Masikini roho yangu (roho yanguu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae Kkila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho inatoka kesho Kutwa nzima mara Eeeh! Mara Iiiiii! Hata najuta kupenda