Diamond Platnumz - I Miss You lyrics

Published

0 2288 0

Diamond Platnumz - I Miss You lyrics

Hello hapo vipi sijui unanisikia Hello nnamaneno natamani kukwambia Hello tafadhari usije nikatia Hello ona mpaka nasaau kusalimia Habari ghani leo nmekukumba sana Na mama yangu twakuwazagaa Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana Na aunty shani wa chimwagaa ah ah Kile kidonda changu cha roho bado kinatia tabu Nnajitaidi kukaza roho ila nadhidisha adhabu Tena silali oh nasubiri maajabu Maumivu yangu ayajapata dawa … I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh … I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh Na roho yangu mama bingili bingili Ah nikikuwaza bingili bingili Nikisinzia bingili bingili bayoyo Oh nikilala bingili bingili Ih inama inuka uwoh bingili bingili Uku sina raha bingili bingili bingili bayoyo Ah iyeeeh ah iyeeeh Tatizo kwetu sijui nini kosa langu Mpaka nikawa adui ghafla ukanichukiaga Nawaza ila siambui ama shida zangu Simba nikawa chui mi roho inaniumaga Yawezekana ahadi zangu zisizotimia Ndio maana haukutaka kusubiria Nasema nyama mwisho wa siku naleta bamia Chai mchana usiku dona kurumaghia Nilitamani sana ila wangu vyangu palinishia Ningalikua na uwezo ningekutimizia Mingali unafuraha haya maumivu ntayavumilia Ila japo nambie ivi unanifikiria maana eh eeh Nakumkumbuka iyeeh iyeh nakumkumbuka sana ooh … I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh … I miss you nakukumbuka iye iyeh I miss you nakukumbuka iye iyeh Ah na roho yangu mama bingili bingili Ah nikikuwaza bingili bingili Nikisinzia bingili bingili bayoyo Oh nikilala bingili bingili Ih inama inuka uwoh bingili bingili Uku sina raha bingili bingili bingili bayoyo Ata nikila bingili bingili Nikikuwa bingili bingili Nikilala heeh bingili bingili bayoyo Ooh ona roho mama bingili bingili Ah nikikuwaza bingili bingili Nikisinzia bingili bingili bayoyo Heeeh! Roho yangu mama bingili bingili Heh heh heeh! Bingili bingili Heh heh heeh! Bingili bingili bayoyo Oooh roho yangu mama bingili bingili Ih inama inuka uwoh bingili bingili Ajabu sina raha bingili bingili bayoyo Ah ata nikila!