Cloudy 9 - Zawadi (Feat. Certified) lyrics

Published

0 198 0

Cloudy 9 - Zawadi (Feat. Certified) lyrics

[Intro: Certified] Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah [Intro: Cloudy 9] If you gotta beautiful girl Beatiful woman And you know She truely loves you Don't let her go [Chorus: Certified] Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu [Verse 1: Cloudy 9] Kwanza sijawahi pendwa kama navyopendwa nawe Nimeshatendwa mara nyingi na warembo zaidi ya we Thats why najiuliza kipi kimekuvutia Bado uko nami miaka mingi hujakimbia Hubabaiki na mastaa vigogo wenye chapaa Umeridhika kuwa nami kwenye shida kwenye raha Daah!, you're so amazing girl, I let people know Even though they can hate but you know Listen honey I dont wanna be the popcorn Kuruka ruka kila siku kama champagne Ukiniacha ni mateso zaidi ya depo Wewe kwangu ni zawadi tena special [Chorus: Certified] Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu Lalalah [Verse 2: Cloudy 9] Nimezunguka kila kona, bado sijaona Mrembo kama we mwenye sifa na heshima Na ndio maana nikaona ni vema tufunge ndoa Nisije nikachelewa siku zote nikajutia Najua wapo wengi wenye uzuri zaidi yako Ila we unabakia kuwa chaguo langu special Usijaribu kwenda mbali nami Utaniumiza siku zote ntaishi kwa huzuni Listen honey I dont wanna be the popcorn Kuruka ruka kila siku kama champagne Ukiniacha ni mateso zaidi ya depo Wewe kwangu ni zawadi tena special [Chorus: Certified] Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu [verse 3: Certified] Japo maisha yana changamoto Naomba mpenzi nivumilie Tufunge ndoa na tuzae watoto Maisha mema tuwalee wakue Tukipata dagaa, Tushukuru maanani Tukilala na njaa, Siri yetu ya ndani Wewe kwangu ni zawadi Maishani mwangu nakuhitaji [Chorus: Certified] Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu Wewe kwangu ni zawadi Nliyopewa na mungu Maisha mwangu nakuhitaji Uwe mama wa wanangu [Autro: Certified] Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah, Zawadi Lalalaa, Lalalah Lalalah lalalalah Lalalala, lalalalh, Zawadi