Chege Chigunda - Waache Waoane lyrics

Featuring ,

Published

0 640 0

Chege Chigunda - Waache Waoane lyrics

maji ya moto yamekua baridi, hakim nimekua shahida, nikijishusha mateso yanazidi, aloniliza ndo akunifariji, waache waoane ×4 yamesibitisha macho, lakini moyo unakataa, nimeamini kikulacho, ni yule unaona anaekufaa, nilifumba mboni zangu, kwa wengine nimuone yeye tu, nikamwaga jasho langu, japo kidogo nile nae yeye tu, mwambie awe huru wala sito lalamaa(aaaaaaa, aaaaaaa) sitaki kukufuru wafunge ndoa salama (aaaaaa, aaaaaa) waache waoane×4 anaepanga kugawanya uaga ni mungu baba, katu siwezi kulalama ridhiki mafungo saba, najitaidi sana wenda sikumridhisha labda, ila kinacho nchanganya akunambia kabla, tena nakupa mauwa mpelekee, wasije yatupa naomba wayapokeee, na sunna ntafunga usiku niwaombee, awape baraka muumba watoto awaletee, eeeaaaa. waache waowane×4 maji ya moto yamekua baridi, hakim nimekua shahida, nikijishusha mateso yanazidi, aloniliza ndo akunifariji, young zaka young zaka young zaka