Bra** - Tunavunjavunja lyrics

Published

0 186 0

Bra** - Tunavunjavunja lyrics

Intro: Ouh Ouh!!!! Yeah! East Africa Pon Di Place We nadi Burn dis ting!!! C'ruxx and Bra**... Chorus: Tunavunjavunja (Vunja) Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo Tunavunjavunja (Vunja) Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2 Bra**: verse1 Sipendi vitu ovyo, nataka moto moto Sipendi ikiwa nje, nataka ikiwa ndani Sichezi na punani, lazima wanimeze Na roll juu ya money wanadhani mi ni witch Bra** nakucheki, lazima tucheze mechi Tumetake miaka less but kwao hiyo n fifty Pang'ang'a wameanza ati mi illuminati Nawagonga nikipita ju najua mi mnati Kama chedda niko nayo ,sibongi juu ya doo Sibongi juu ya fail ju najua mi ndio faul Kama dame niko nao juu chini kando mbele Awe trickster mi sijali, awe viper mi sijali Golddigger mi sijali ju najua mi nina money You can come around, unapenda drink gani? Kileo ntakupa but mti utameza Chorus: Tunavunjavunja (Vunja) Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo Tunavunjavunja (Vunja) Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2 C'ruxx: verse2 Uh! Chics, dudes, kila mtu kwenye club Hands up in the air, show em now what we are about The game planners, the head starters Lil C'ruxx, I'm the young rapper Chasing dollars , the ladies still love us I still pop bottles like each and everyday Dj bring it back! Now let it play The haters will hate but I never hesitate I just make the beat drop and then have you all on the dance floor If you love this song imma give you more Back at the bar, add more shots Ni C'ruxx kwenye hii verse, tunawatisha But mob love for all the pretty ladies And more drinks down for all my hommies Chorus: Tunavunjavunja (Vunja) Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo Tunavunjavunja (Vunja) Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2 Bra**: verse3 Game tunak** Mipaka Tunavuka tukiruka tukirusha Tunatema vitu kali wanasema tam tam Najua tu ni mimi, najua tu ni wewe bila shaka tu ni sisi Tumetoka far, sidhani tumefika Hii si dumba, hii ni talanta.. C'ruxx: Ni mi na Bra** kwenya track acha ngoma na ichune Spika ipasukee, kama wewe dame msupa wajifeel Zitingishe, jiachilie, eeeeih It's our time! Hands up in the air kila mtu One time, two time, kile time tunashine Yap, Kila time tunashine Yap, Kila time tuna... Chorus: Tunavunjavunja (Vunja) Tunatema vitu moto tukiwapa kisogo Tunavunjavunja (Vunja) Tunavuka mipaka tukiwapa vitu moto... X2