Verse 1:
Uuuui aaaa yeah yeahh malaika zangu zainuka
Kila anaponigusa pumzi nazo mi zaniishia
Kila anaponidadisia
Vile ata nipenda, vile ata niroga, vile ata niliza, vile ata (uui) vile ata nipenda, vile ataniroga, vile ataniliza vile ata …. anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri
Chorus :
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Verse 2:
Yuafanya kwa utaratibu
Vioja vyamaliza nguvu
Sina budi ila kumruhusu
Anipe sumu
Anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri
Chorus :
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye
Anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Bridge:
Niwie radhi
Si ati ni mara ya kwanza
Kufanya mapenzi
Lakini bila shaka
Hamna mwingine kama yeye
Chorus:
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Nimempata mfale wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiae mbinu zake
Nimempata mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye anifaaye
Outro:
Anaponibusu (uuuui uuui)
Anaponilaza chini (iiiii iii)
Na anapo nipapasa (aaah aaai)
Ni dhahiri shahiri