INTRO Spince Seseme Let me Introduce my business men ..ILALA ZONE FAMILY MADONTA Eyoo K SESEME FAMILY MADONTA., Viva Conscious..Seseme Dar-es-salaam Stand Up VERSE 1 : K MASTER Unasimama kama Tangazo lilowekwa Front Page Sitokata Ma Boda bali nashusha Mabegi Eheheh nashusha mabegi heeeeee nashusha mabegi Ma Bi O L.To The V.O Nipo kama Sipo Watu wajae People, kama asieenda kasha nikiwa na mzigo Mbele ya macho yangu ameruka kama Eagle Nipo Kiseruseru Pote upo PeruPeru Unapokuja ghetto ghero Nipo Hoi Beru beru Aaah Nipe kiss nipe love nipe Hug ahhh Keep ma jampe no stumpe nipe love ahhh Aaaaah aaahh ma mdogo wenzako wapo chali ushawapiga matobo Aaaaah aaahh ma mdogo wenzako wapo chali ushawapiga matobo CHORUS” SPINCE SESEME Ringa Nengua Ringa Nengua wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa na Nengua heeee wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa Nengua wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa na Nengua heeee wakati ndio huu mama VERSE 2 : K MASTER K Master na Bang out Bang Out nikiwa nawe na bang out
K Master na Bang out Bang out nikiwa nawe na bang out Unaji update ila star siuwawi Una mtambo flani wakudedisha wachawi Ni kama uwoya kwenye movie ya Oprah Nikama Tunda kwenye jangwa nimeokota Mi na we japo hawataki tu yawe Hello baby, yes baby come baby basi shake baby Aaaah Nageuka adam kwenye Eden Yako Deni lako ,kitchen na Party yako Nageuka Cheni kwenye shingo yako Vibaka wakipora hio ni Pain kwako No lieing Hizi Spidi usi trying.. Maradhi yapo mengibe care uta die CHORUS” SPINCE SESEME Ringa Nengua Ringa Nengua wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa na Nengua heeee wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa Nengua wakati ndio huu mama Ringa Nengua Ringa na Nengua heeee wakati ndio huu mama VERSE 3 : VIVA CONSCIOUS We Ni One ,last and Second African Girl you are Mine Basi Deka Yeh You are everything I Have Everything I do I do for you my love Rusha mikuki Mapenzi Lukuki Mapenzi Tuki .Bado Mi mswahili sina chuki Nipe Raha Africa Bambataa Acha waponde Mi mshale wa sekunde wee wa saa