Chorus
Anita, Anita wangu, hey lele lilei iyeeee iyee
Ei sukuma sukuma, ili siku ziende
Urudi nyumbani tuishi pamoja
Verse - Matonya
Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini
Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi
Ukumbuka tulilishana yamini
Kwamba mimi na wewe
Maisha milele mpaka nafukiwa chini
Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe
Natamani uyajue ili unilinde mimi
Sijajua uliwaza nini Anita
kuwa
mbali na mimi
Hata hilo nilijue ili nisaishe mimi
Kama ni maradhi, mimi ndio wako nakitari
Unambie mapema ili dawa yake niijue
Kama ni waradhii iiiiiie
Anita
Repeat Chorus
Verse - Lady Jaydee
Unajua nilikupendaa zaidi
Ila ya dunia we yalikuzidi
Nilitamani kuwa nawe zaidi
Kuliko yoyote unayemdhani
Siku zote uko safarini kuniacha mimi upweke
Mimi nilikupena sana we mpenzi
Je kweli wataka kunienzi
Au unataka kunitia mi mashakani
Verse - Matonya
Siku zote nipo kama chizi, ni yangu njiani naongea
Hiyo yote sababu yako anita kilio pokea
Chifu na majirani mtani wanakuulizia
Sina la kuwajibu nabaki kama chichi najililia
Waliniambia nikuache wewe
Ili mimi niishi mwenyewe
Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe
Wakasema hutonisamini, wala haikuniingia akilini
Gozi, gita wakapiga jua wewe ndio wa maishani
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga
Kwako taabani nimeshamwaga manyanga
Anita wewe umeumbika mama
Kila upitapo nyuma malawama
Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako taabani.
Repeat Chorus till fade