uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi uvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifa ndugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifa mwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleo Karani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifa uvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifa ndugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifa mwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleo Karani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifa hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi