Chorus Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz Longombas wanafanya mambo (vuta pumz) Longombas wanatetemesha (vuta pumz) Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2) Kuna wanawake warembo Wenye marasa, na mapaja, na weupe Na ni wazuri kinyama Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2) Kuna wanaume wengi Wenye vifua, na warefu, na wenye nguvu Na ni wazuri kinyama Lakini tujichunge Pengine wanao mdudu Wanatuacha, wana-go (x2) Chorus Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz (x2) Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa Usimwone amerembeka, ukadhani umefika Usimwone ana pesa, ukadhani umefika Pengine anatuacha,
kesho anachora (X2) Na kama unayo, si mwisho ya maisha Ni ugonjwa tu kama malaria Meza dawa, piga tizi, kula vizuri, utaishi fiti Maisha utayasukuma (x2) Na mijinga usiyojua kujichinga Kila shimo unaona unadunga Hebu jichunge kijana utakuja kufa tukuzike Lang'ata Paja asione tu, huyo ashainua Kifua kisipite tu, huyo ashajigonga Tako lisipite tu, mate yashamtoka (x2) Chorus Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz (x2) Ayi nenene (x16) Usimwone amejaza nyuma, ukadhani ako poa Usimwone amerembeka, ukadhani umefika Usimwone ana pesa, ukadhani umefika Pengine anatuacha, kesho anachora