Intro (Longombas): Longombas......., longombas....... Verse 1 (Longombas & Unknown girls): Mbio ya mgambo ikilia ina jambo. Nami ninalia kwasababu nina jambo. Sista vipi mambo (Aah, poa bratha!)? Mi na ku-mind kishenzi (Wacha mchezo). Unavyo walk, talk si unaelewa tena? Unavyolegeza macho ni nani k** kishenzi. Nami nimenusurika kuwa chizi. Kukubusu mimi sijui ni lini. Mimi sina hili wala lile. Wanakutaka wewe, la namchunga.... Una faa na mimi, Mi mwenyewe ni chuma, nataka uwe mchumba. (Aah, nyumba yenyewe huna!) Chorus (Longombas & Unknown girl): Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona unanirogaroga (roga). Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona una ni roga roga (roga). Verse 2 (Longombas & Unknown girl): Umesogamana nayo Hadi sitamani tu kucheki cheza ngoma,kwani ni noma. Hilo bu-du linanichoma hadi na tamani La sista usitake mi ni lie Nimevumilia hadi nikaamua kukwambia {I love you shothel, mi nakupenda} (Lakini mi naogopa!) Usiogope kitu wala usiwe na hofu. Yule ni chovu, mbovu.......
(Eee, najuta kistukia jee) ata do?! (Akisha nitaamua jee) ata do?! Akwende basi, come ni ku touch. Chorus (Longombas & Unknown girl) {Repeat this twice}: Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona unaturogaroga (roga). Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona unaturogaroga (roga). Bridge (Longombas): Adondo waka mipusa pe Mipe, kipe mabuula ape Akieteke jelwa kuduse Akwenchi kwenchia na aloba, aleba Adondo waka mipusa pe Mipe, kipe mabuula ape Akieteke jelwa kuduse Akwenchi kwenchia na aloba, aleba, alebe, kisekete Verse 3 (Lovy) [Repeat this twice]: Logombas, cheza kuwa kwani twaku twakutongoza Logombas, pate umejazia. Na figure kilogomba, yaba logomba Njoo unatuchoma,ukidondosa inavyosonga. Hebu songesha, hebu songesha. Chorus (Longombas & Unknown girl): Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona unanirogaroga (roga). Nikicheki ukidondo-dondosa, Roho yangu inauma uma. Hiyo kazi ya kusonga songa (songa), Mbona una ni roga roga (roga).