Intro
Kenzo
Ogopa DJS
Matata hii Verse 1
Maisha ya upekee Jamani mi sitaki
Nimeaamua kuwacha Maisha ya u-bachelor
Niko katika Hali ya kutafuta
Msichana mmoja Mrembo ni eeh Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe kama wewe
kama wewe Verse 2
nimesema na wengi nimejitupa na wengi
nimehangaika sana nikitafuta mchumba
wa kunitunza anizalie mapacha
ninapotokea kazini kuna wa kusema nami
nikikasirika anifurahisha
msichana mmoja mrembo eeh Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe kama wewe
kama wewe Verse 3
nimeamua Nitamtafuta Sitachoka
Mpaka mi nimpate
nimeamua Nitamtafuta Sitachoka
Mpaka mi nimpate nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe kama wewe
kama wewe