VERSE 1 SHAH BANG
Hii ni siku nzuri asante mola bado sikosei,naandika deep sana ni mchezo mchafu
Na pita nacheza tafu mi sina hofu
Kipi kibaya ulichotenda mpaka mungu asikuangilie
Kambariki Bar Tender Mkulima asikuhurumie
Kwa wanadamu na hawa
Kiujamaaa chapakazi kwa maisha ndo sawa
Ngumu sana kwa wagonjwa hip hop safi ndo dawa
Mipango ya kambi ya mtoni waandishi hamsalimiki
Toka hood kitaaani Nyeusi bado sisomeki
Ni street Battle lipa karo pata elimu
Niko mbele ya darasa kaa kimya uhitimu
Naicheza kwa mipango huu ndo mchezo adimu
Ujuzi kwanza ujuzi na stanza hii ndo script ya kwanza
Dunia ni dample maovu yananuka harufu
Binadamu kawa nyama eti kisa hizi sarafu
Bado bila bila bado nashusha hizi mpya sera
Kila kitu siasa ni ndoto kwa maisha bora
Bado mitaa inaniita na mimi natii
Sinto sita wakilisha hizi fasihi
CHORUS JOH MAKINI & G-NAKO
Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji
Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza
Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji
Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza
VERSE 2 SHAH BANG
Am the River kama Bonta,Joh na Nikki wa Pili
Higher nawapeleka so lazima mtakiri
Bayaaa nalolitema amini kwao ndo dili
Fire najiamini more sk** ni shah bang
Na hawatuwezi kama Nako ballaa
Mi ni majetooo pastor
Kichwani sina nywele ila moyoni amini ni rasta
Haraka rudi kwa mizizi dizaini ile ya nesta marley
Bado nipo kwa uchunguzi sijamuona mkareee
Mi mkare nani mkareeeeee?
CHORUS JOH MAKINI & G-NAKO
Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji
Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza
Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji
Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni staNZA
VERSE 3
Sura ya mchezo iliyojawa na huzuni
Sioni wa kumchagua kuondoa hii hali duni
Mafanikio ya mwafrika hupatikana uzeeni
Hakuna mipango miji toka mwanzo mashuleni
Hii ni abadani milele itaendelea
Waliofeli ndo walimu wanaongeza tu ma failures
Huwezi tambua chukua toka kwa genious
Genious more sk**s more furious
Show kazi
Wanapanda mlima eti kwa kutumia ngazi
NGUMU KUFANIKIWA THIS GAME IS EASY
CHORUS JOH AND GNAKO
THIS IS TOO BLACK I DON HAVE ANYTHING TO SAY MAN