Verse 1:Hyper Kid Go get a job Yo kijana chapa kazi Usitegemee mafanikio yapo wazi Usipige makelele ur mama Ur mama atakupa radhi Cha msingi we simama kama kijana Nau chape kazi ,kazi..kazi ..yeah Chapa kazi Boy i know ur thirsty (yeah chapa kazi ) Uwoga wako umasikini wako umejifunza kwa wenzako Usiombe pesa hamna pesa ,omba kazi do ur hustle Kazi ni kazi ,kazi ina kidhi mahitaji Hadhi haishuki kwa kazi ,sio kila kazi ni kazi Utafungwa au maradhi ,utashusha hadhi wazazi ,kujituma sio utumwa ,so soon utayachuma.. Ahadi ahadi alizotoa ni baba Akili ni mtaji ,mtaji wa pesa ni baada Tumia kipaji.. kipaji ulichopewa na baba Usijikute mjuaji wakati hauzijui hizi mada Futa jasho kamanda (okay) Kifuatacho ni mkwanja Wakiruka viwanja we vuta kiwanja Nafanya nacho fanya ,coz i really dont care Haters hamna mwanya Better say ur last prayers... Chorus::G nako More money ,More problems (ehh) Hela mingi ,shida mingi (huh) Shida mingi humalizwa kwa hela mingi wewe (we chapa..cha..chapa..cha chapa cha chapa kazi)* 2
Verse 2:Hyper kid Sipo hapa kuentertain Nipo hapa ili ni-gain ,no pain no gain ,sipumziki hadi uzeeni Wavivu siyo type yangu Wanaodhani nitalegeza Muda sio siri yangu , Kamwe siwezi kuipoteza (neva) ,Wasomi wengi wenye akili wachache Ndo maana na chapa kazi Ili chochote ni pate ,sifanyi kazi bila pesa Boy heshimu uwepo wangu Si subiri kuajiriwa ,mi najiajiri kivyangu (ahah) ,deal after deal Toka deal napiga deal Dream chaser ,paper chaser If u still im ill ,and my hustle stay real And my goals stay real ,siwezi kuumiza akili Nimeandamwa na bills Work work work motowns on top ,work work work rau veta dont stop Drop drop drop ur dreams gonna drop Stop and work ,hustle and rock G.M.G gonna rock ,Mafanikio dats my way Lord help me and i pray Coz i wanna get paid , Nipeleke home my new game (Asiyefanya kazi na asile ,dats wat bible says )*2 G.M.G (chorus)*2 (chapa kazi ,cha cha chapa kaz ...go get a job )*8