Intro : Yeah Yeah Arusha Boy in the House one time n Yeh Gentriez Tsup Darsh Verse 1 Gentriez Ni kama Pingu imenipiga mikononi hauoni? Umenifunga kwenye chumba chenye carbon siponi Hivi ni akili Yako ,majirani au ni mashetani honey? Umeniachia hangover yako ya mapenzi kichwani Sisubutu kusema bye itakua ni haraka sana Ninywe Pombe Nikusahau nitakua sina maana Hazifai, Vocha za Mumeo Kumpigia Hawara Si usubiri uitwe mwali umeremete kwenye shela Tuitwe mr and Mrs wewe ni mrs Gentriez Weak begi chini twende turudi ndani right Hazifai chafu picha kama za wema Magazetini Haita kuwa tena love noma wakiskia wazazi You're my one and only and no one like you CHORUS :Gnako Napita Mengi kuelekea kwenye ushindi mamaa Baki na Mimi Kila kitu kwa sababu mungu hupanga Hasira za Nini Tamaa za Nini umedata na nini? VERSE 2 –THE ARTIST Now how you gon play a mac daddy Like I treated you back Taking out you're a** Then dramatically pack up It's been some years and after running out of tears I still want you back even tho I got my cash up Listen I want you like a grammy Show you off to my fans like sorry you cant have me I wanna fast forward second chance
Press play at family Cuz im addicted to you like the art of gambling You mad these women wanna be in your position They mad cuz the ring you got equal they tuition They mad cuz I got my mind focused on success And they wanna take the place of my lovely a**istant These women mad cuz they man is what im not These men jealous cuz they really want what I got So the hell with both of them they lie a lot Now bring your s**y a**over here and twist this high top Verse 3 Gentriez Usiniweke kwenye chupa walakibobo cha kimbo Ndani usinifunge usinichunge na fimbo Pumzi zinapishana juu chini down Ukilowa nakufuta tunaenda juu high Usijaribu kuniacha I swear I'll die Sinto funua nikuache wazi ubai sifai Na sio limbwata wala hirizi hiii ni sweet love Nipe raha napiga pafu nahema Cheki unataka kuwa beyonce na mimi sio jiga umeshaanikunja unataka kunipiga Unafanya wanacho act wakina lem gerry de mi vida Mimi niko real kwako sio movie la kivita Ona unataka kuwa beyonce na mimi sio jiga umeshaanikunja unataka kunipiga Unafanya wanacho act wakina lem gerry de mi vida Mimi niko real kwako sio movie la kivita CHORUS: Gnako