VERSE 1 LYRICS:
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima CHORUS LYRICS:
Nitamtukuza aah... tamtukuza ooh..
milele daima
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima VERSE 2 LYRICS:
Yeye ndiye Bwana wa moyo wangu
Yeye ndiye Mungu wa maisha yangu
Binguni duniani hakuna kama Yeye
Simba wa Yuda Mwana wa majeshi eeh CHORUS LYRICS:
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima