VERSE 1 LYRICS:
Unaponipeleka
mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima
nijue Njia zako hakika Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa,sawa Njia zako hakika Mambo
yako sambamba Mipango yako sa.a......wa CHORUS LYRICS:
where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al move,i will follow you VERSE 2 LYRICS:
hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,wala unafiki kwako,baba kwako,ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,hakuna vita kwako,hakuna magonjwa kwako,wala talaka kwako,baba kwako
kuna upendo tele kwako,furaha kwako,umoja kwako,baba kwako CHORUS LYRICS:
where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al move,i will follow you