Agogo - Chalii Wa Kitaa (Explicit) lyrics

Published

0 198 0

Agogo - Chalii Wa Kitaa (Explicit) lyrics

Chorus Tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kita Jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa) TunaHustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa) Mikono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this; Verse 1 Aaaaahhhh ni star wa kitaa Akiwakilisha, witness the bigger picture Aaaaaahhhh ni shujaa ile balaa Hakubali kushindwa, atabaki kua bingwa Aaaaaahhhh we balling in the streets Aaaahhhh i got you standing on your feet Naweza kua JPM for a minute State house backyard singing Mungu tubariki Finger up like f** beef and burger, hapa chai na karanga Kama hukai hunifai hawa cowards nawaswaga Unajidai uko fly nazichanga ka mchaga Au karata uliza kitaa sijawahi lamba garasa Mi nakaza we unakazwa mbwiga kamwe haiwezekani mi casa kua su casa Kaa chini skiza darasa la maisha Something about cla** that makes it okay kuvuta shisha... Chorus Tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kita Jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa) TunaHustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa) Mikono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this; Hook AYE ×6 Mtaa uko ngumu ila bado tunafurahi, Like AYE x6 Hatukubali kushindwa, (we keep on struggling) Verse 2 Catch me cruising na bajaji Call me captain of the crew ya washikaji Ni exception, when you talk about maji Hatuwataki wazamiaji Mimi na my kinfolks ruti zetu kwa daladala Even if we run broke tunajichanga daladala We always be dreaming of making more daladalaaaa Why you looking at me funny Wining and dining kwa mama yetu ni kutamu hatari Nitilie more please, Reminiscing those days Reminding me when we were kids Tukigombania wali Tumetoka chini now we here It's about time nikiwaambia Dada, kaka, wakubwa na madogo pia Kama na wewe ni hustler basi f*gilia T. A. B. A. T. A that's what I'm reppin 909 my foundation God bless we Chorus Tunachapa kazi, tunasongesha bila wasiwasi, (chalii wa kitaa) Jasho linatiririka, ila mwishoe tunaburudika, (chalii wa kitaa) TunaHustle all day and all night, but we still alright, (chalii wa kitaa) Mikono juu, shukuru aliye juu, siku zote tunaishi like this; Hook AYE ×6 Mtaa uko ngumu ila bado tunafurahi, Like AYE x6 Hatukubali kushindwa, (we keep on struggling)