ABBAS KUBAFF - Nairobi lyrics

Published

0 1011 0

ABBAS KUBAFF - Nairobi lyrics

[Verse 1: Vigeti] Wameamua hao ndio wata kula keki soh Funga mwananchi mdomo, miradi hazileti doh Niambie round-y hii mbona vijana hawabebi doh Miaka kumi na tatu wanacheza na ma AK vi-pro Ma-mother wana-lose ma-sons wan*lia daily oh! Sura ya Mzee Kenyatta iko in scarcity Most wanted shinda janta, ama makazi D Wasomi-tu na ma-degree za university Corruption wise si tuko juu ndio shuguli ya wiki Tuseme Afrika mzima kuna tu mashuguri ka sisi Anyway, man we-alright Kwa giza bado tuna-shine design ya neon light Pesa ndio man best friend kama doggy Unauwa unawalk free kama Tom Cholmondeley Unamaliziwa kisha unatupwa tu kwa choo mdhii Kila wiki methali utakuta tu Nairobi [Chorus: Sati] x2 Nairobi niku-hustle Wamama kwa vijana na watoto Askari nao kupatiwa hongo Ni jinsi ya kumaliza msoto x2 [Verse 2: Abbas Kubaff] Hii ni definition real, ya f**ery Ebu, skiza definition ya Nairobbery Life is a b**h, na yeye huishi Nairobbery Politicians wameweka mbegu ndani ya ovaries Mandovu zinatosha mfuko za poverty Wame-stack ni kama Johnny (irony!) Ma-Popeye wakule spinach iwe irony Msupa anatoka market na ma-groceries Akachapiwa hadi kibeti iko na iphone six Ma-guns zina-co*k ka kuku za ndume Ma-5-O kwa GK ka jina ya kike Juu Al-shabaab ina-madiaba hii system Na Ma-deal hatujui tukiomba a**istance Tukiomba kusafiri joh tuwe na kismet Kwa map tumecheki imechorwa na Bismarck Karibuni Nairobbery ni mji wa click-clack [Chorus: Sati] x2 Nairobi niku-hustle Wamama kwa vijana na watoto Askari nao kupatiwa hongo Ni jinsi ya kumaliza msoto [Verse 3: Vigeti] Ma-boy roundi hii wanavuta-tu ma-poni Ma-shawty kwa street wanafukuza tu manoti Serekali imegeuza mgogo inapuuza hakuna ngori Nahurumia watoto wetu tunawaangusha kuna story Nusu watu, nusu hayahawani, Judas Iscariot Wana kubusu na matani Pande ingine kukuchomea huku wire fulani Zinaitwa mishi mishi za Nairobi Mjanja ni mjanja usilazimishe man haitoki Kwani nini oh yah! Usinimambie ulikuja kuzubaa mjini oh-yah! Ndio ndani ya Nairobi bana! Mwisho wa mwezi landlord-y anadai kodi bana Nairobi imenifunza vitu mingi Mpaka watoto wadogo wanafukuza-tu shilingi Nairobi my City, my town! K-South washaitoleatu mziki one time NAIROBBERY! [Chorus: Sati] x2