Harmonize - Niambie lyrics

Published

0 2407 0

Harmonize - Niambie lyrics

[Verse 1] Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah [Hook/Chorus] oooh Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho [Verse 2] Siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba, umenipendea rhumba Vipi nikija Tunda oooooh oooh Usije mgezea Punda, ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh [Hook/Chorus] Mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi, yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende Niambie, Tell me baby love,oooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo, Usije nitenda ukaniumiza Roho Umenipendea!!!! kipi mama,(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo