Harmonize - Ayiola lyrics

Published

0 1627 0

Harmonize - Ayiola lyrics

Nilifundishwa na Bibi kijijini jinsi ya kupenda Na mwanamke hapigwi Na ngumi ila upande wa kanga Tena mapenzi sio league Nikakubali kushindwa Mi sikufunzwa graji Tushindane risasi kwa panga Mbona niliku thamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tuliko tokea Na kunishusha thamani Kipi nilicho kosea Ingawa kidogo nlichopata Nkajinyima uridhike Ila hukujali ukanikatili moyoooo! Majirani walinicheka ulipo ni force nipikee Aaaahh! Sio siri ilinivunja moyoo Kisirani ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Sito force unipende OoohKishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Basi bora uendee Sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo Moyo wenye matamanio na unapenda pia Ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo Aaah! Chaguo la moyo kumbe ulipita njiaa Nilivo wanyima ndugu Visiri nikakutunzia Usijee leta vurugu akili ukaitibuaa Najuta Kujitia bubuu Sitaki vya kusikia Kisa pendo unisurubu Mengi nishafumbia Mbona niliku thamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tuliko tokea Na kunishusha thamani Kipi nilicho kosea Kisirani ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Sito force unipende Oooh baki Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Basi bora uendee Kishingo upande kishingo upande Aaaah Na maximize oooh am nice baibe, am nice baibe