GQ - Near by lyrics

Published

0 359 0

GQ - Near by lyrics

SONG: Near by ARTIST: Dantiz Feat GQ PROD. BY: GQ & Dantiz VERS ONE: My love sikiliza nakuimbia Tenzi za mahaba zenye uwingi wa hisia Ona umenipiga Shaba kwenye penzi nshajifia Tena we Ni langu shada uwa zuri unanukia Baby I'm right here, you don' have to fear Tufwatane Kama vile kiuno Na mkia… Na you the best I ever had, I call you my dear M y boo you gotta gwaan, you the queen of Tanzania Mammy mi natapatapa kwenye kona za mtaa Naninavyo nyatanyata naziwinda tu chapaa Japo nsije toka kapa mi na we tuishinde njaa Wasikushawishi mapapaa ukaniacha kwa mataa Kwako ndo nainvest sio bank ya AKIBA Faida ni lako penzi wala sihitaji RIBA Kwako nafakamia kwa wengine nimeshiba Tena nishaweka nia ka kwa sala ya msiba I'm so dead to ya Basi binti nipe stara Just open your heart ndo kaburi mi lala We'll never be apart sito run kama swala Basi kuwa na imani kama muumini na sala CHORUS I wanna get near by you Usiniache niondoke I wanna get close to you Usiniache mi mpweke X2 VERS Una Voice Kama Linah japo hufanyi R n' B You the best designer Kama Charles Louis V Nimeiacha zina I won't give you H.I.V Na Si tattoo Ni Ina Baby that's what I need Hebu kwanza check baby Uko so s** Your love is so sweet Kama vile utamu wa CAKE GQ on the mix shwarty always makes me RACE So you the perfect PEPSI just come to cool my Thirsty Dedication Song Hii zawadi Kwako Mrembo Kama king Kong Nitakulinda na scandals Please come home Boo my room is full of candles We about to party with ya body nipe pendo Aaah! Lemme handle you tonight ( Nearby you) Aaah Baby makes me feel alright(Close to you) Cause you the one shwarty I real wanna hold Njoo njoo chumbani I feel so damn cold Unataka shopping twende zetu abroad Call me your sponsor kila kitu nita afford Chorus