Godson Jawabu - Ni Yesu lyrics

Published

0 452 0

Godson Jawabu - Ni Yesu lyrics

Chorus x1 Ni Yesu ndiye ngao yangu, Mchungaji wa maisha yangu, Ni Yesu Kimbilio langu, basically kila kitu kwangu Verse 1 Hatimaye sa nimepata rafiki, yuko nami kwa faraja na dhiki, huunilaza kwenye majani mabichi isitoshe amenifanya zaidi ya mshindi, Amenipigania vita vyangu mimi, jemedari amenisamehe dhambi, Ingawa matendo zangu kwake hazifaai, neema zake ndizo zime nihifaadhi, Damu yake imenitakasa na, roho wake pia akanijaza na, Sibadiliki niko chini ya mwamba na, mwamba juu yangu Chorus x2 Verse 2 Jehova Jireh umekuwa mpaji wangu, Jehova Nissi bendera ya uokovu wangu, Ebeneza umekuwa mwaminifu kwangu, Rapha mponyaji wangu, Macho yake yako kwangu ka sinema, kila siku ananiwazia mema, namshikilia kama suspender daima, namfuata ka bendera Grace yake imeni cover ka duve, love yake ni tamu wacha shuge Grace yake imeni cover ka duve, love yake tamu wacha shuge Chorus x2 [Bridge] Yesu ni njia, ukweli, uzima Yesu ni njia, ukweli, uzima Yesu ni njia, ukweli, uzima uzima wa milele x4 Chorus till fade