Gnako - Ujuzi kwanza lyrics

Published

0 182 0

Gnako - Ujuzi kwanza lyrics

VERSE 1 SHAH BANG Hii ni siku nzuri asante mola bado sikosei,naandika deep sana ni mchezo mchafu Na pita nacheza tafu mi sina hofu Kipi kibaya ulichotenda mpaka mungu asikuangilie Kambariki Bar Tender Mkulima asikuhurumie Kwa wanadamu na hawa Kiujamaaa chapakazi kwa maisha ndo sawa Ngumu sana kwa wagonjwa hip hop safi ndo dawa Mipango ya kambi ya mtoni waandishi hamsalimiki Toka hood kitaaani Nyeusi bado sisomeki Ni street Battle lipa karo pata elimu Niko mbele ya darasa kaa kimya uhitimu Naicheza kwa mipango huu ndo mchezo adimu Ujuzi kwanza ujuzi na stanza hii ndo script ya kwanza Dunia ni dample maovu yananuka harufu Binadamu kawa nyama eti kisa hizi sarafu Bado bila bila bado nashusha hizi mpya sera Kila kitu siasa ni ndoto kwa maisha bora Bado mitaa inaniita na mimi natii Sinto sita wakilisha hizi fasihi CHORUS JOH MAKINI & G-NAKO Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza VERSE 2 SHAH BANG Am the River kama Bonta,Joh na Nikki wa Pili Higher nawapeleka so lazima mtakiri Bayaaa nalolitema amini kwao ndo dili Fire najiamini more sk** ni shah bang Na hawatuwezi kama Nako ballaa Mi ni majetooo pastor Kichwani sina nywele ila moyoni amini ni rasta Haraka rudi kwa mizizi dizaini ile ya nesta marley Bado nipo kwa uchunguzi sijamuona mkareee Mi mkare nani mkareeeeee? CHORUS JOH MAKINI & G-NAKO Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni stanza Dunia ina wasomi tumebarikiwa vipaji Ujuzi darasa la kwanza kama ulimwengu mama Baba ni staNZA VERSE 3 Sura ya mchezo iliyojawa na huzuni Sioni wa kumchagua kuondoa hii hali duni Mafanikio ya mwafrika hupatikana uzeeni Hakuna mipango miji toka mwanzo mashuleni Hii ni abadani milele itaendelea Waliofeli ndo walimu wanaongeza tu ma failures Huwezi tambua chukua toka kwa genious Genious more sk**s more furious Show kazi Wanapanda mlima eti kwa kutumia ngazi NGUMU KUFANIKIWA THIS GAME IS EASY CHORUS JOH AND GNAKO THIS IS TOO BLACK I DON HAVE ANYTHING TO SAY MAN