Gloria Muliro - Tukuza lyrics

Published

0 214 0

Gloria Muliro - Tukuza lyrics

VERSE 1 LYRICS: Nitamtukuza Mwokozi milele daima nitamtukuza Jehova milele daima Nitamtukuza Mwokozi milele daima nitamtukuza Jehova milele daima nitamuinua Mwokozi milele daima nitamtukuza Jehova milele daima nitamuinua Mwokozi milele daima nitamtukuza Jehova milele daima nitamrukia Mwokozi siku zangu zote nitamtukuza Jehova milele daima nitamrukia Mwokozi siku zangu zote nitamtukuza Jehova milele daima CHORUS LYRICS: Nitamtukuza aah... tamtukuza ooh.. milele daima nitamuinua aah... tamuinua eeh... milele daima VERSE 2 LYRICS: Yeye ndiye Bwana wa moyo wangu Yeye ndiye Mungu wa maisha yangu Binguni duniani hakuna kama Yeye Simba wa Yuda Mwana wa majeshi eeh CHORUS LYRICS: nitamuinua aah... tamuinua eeh... milele daima