Gloria Muliro - I Will Follow You lyrics

Published

0 474 0

Gloria Muliro - I Will Follow You lyrics

VERSE 1 LYRICS: Unaponipeleka mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima nijue Njia zako hakika Mambo yako sambamba Mipango yako sawa,sawa Njia zako hakika Mambo yako sambamba Mipango yako sa.a......wa CHORUS LYRICS: where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al move,i will follow you VERSE 2 LYRICS: hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,wala unafiki kwako,baba kwako,ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,hakuna vita kwako,hakuna magonjwa kwako,wala talaka kwako,baba kwako kuna upendo tele kwako,furaha kwako,umoja kwako,baba kwako CHORUS LYRICS: where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al move,i will follow you