Ghafla - Block Za Udongo lyrics

Published

0 124 0

Ghafla - Block Za Udongo lyrics

Chorus Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual Block za udongo ni A sio chicago Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako Verse 1 Narudi nyumbani narudi mitaa Najua nawindwa nalindwa na Jah Nafurahi navaa nawaka balaa Mama akicheka nalia kwa furaha Nachana mikeka adui shangaa Na shanga nakata mrembo anakaa Ghafla ni star Taa ya mtaa Hatamu imefika ni muda wa shujaa Achana na mziki ninaoufanya haufanani na nafasi ninayowekwa Nashukuru kwa yote maana hakuna atujuaye vyema zaidi ya..[Allah] Chorus Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual Block za udongo ni A sio chicago Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako Ukiwa na watu bila shaka maisha unayo Natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe Verse 2 Fisadi ana sign EPA Wanangu wana roll paper Wanangu wanaijua njaa Wanaujua msoto hivyo wanaukwepa Kicheche anadai pesa Anataka nimgaie u-famous Anataka nimrushe Si mpaka nimrushe Sitoi promo nikavae pampers Skendo natupa kwa juu Shukuru Mungu aliye juu Kila siku ni nafuu Kila siku sikukuu Asante Mungu we unanijua Baba Mungu napumua Naendesha mtaa kama Zimba flani chocho zote natifua Rap battlе freestyle onyesha uwezo kama tupo S.U.A Huku mziki huku mtaa kati mimi yеaah si unanijua Nagawa upendo ka salamu kuhusu msosi kwetu ni manuva Nazamisha meli bila muwa Tupo mtaa kaka mkubwa Nipo mtaani ninashtua Hustle kwenye jua mvua Nusu nusu mpaka nzima ikue Usiuze nafsi itakua Pasi pasi mpaka goli mkula Pafu pafu tunashtua Pasi pasi mpaka goli mkula Pafu pafu tunashtua..grrrr Chorus Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo Tunaendesha hii mitaa ndio kwa manual Block za udongo ni A sio chicago Sisi ni walimu huku mtaa sisi ni mfano Tunafurahi tunaenjoy leo ni viwango Ukiwa na watu we ni tajiri maisha yako Ukiwa na watu bila shaka maisha unayo Natokea mtaa block za udongo mpaka kwako wewe Outro [Ghafla Natokea mtaa block za udongo mpaka kwake wewe Tunafurahi tuna uhai pumzi tunayo Dobe Pro KSS Muzik Tanzania baby Mtaa Cut the beat off