Gaza - Umechelewa lyrics

Published

0 233 0

Gaza - Umechelewa lyrics

INTRO VERSE 1 NAPATA UJUMBE KWA SIMU NIKICHEKI NATAMBUA HII NAMBARI, NAUSOMA HUO UJUMBE (UMETOKA WAPI SIJUI HUYU NI NANI)ETI WANIJULILIA HALI WAOMBA NIKO SALAMA, LAKINI MI NA WE TWAJUA UKWELI HALISI CHORUS WALIKOSA PENZI, WAHITJI MWENZI, HAUTAWAHI PATA MAHALA PENGINE EEEI EIII PENZI LANGU, NILIKUPA ROHO YANGU ULIAMUA SITOSHI MBOGA NA SASA WATAKA TUANZE TENA MAJI YAKIMWAGIKA (HAYAZOLEKI TENA) MAJI YAKIMWAGIKA (HAYA ZO OLEKI TENA) VERSE 2 CHAMBILECHO WAHENGA (MPENDE AKUPENDAE ASOKUPENDA WACHANA NAE) PIA WALISEMA (USIWACHE MBACHAO KWA MSAAAL A UPITAO) HUWEZI RUDI NYUMA (SIWEZI RUDI NYUMA SIWEZI RUDI NYUMA) USIONE KOVU UKADHANI KIDONDA KAPOA CHORUS WALIKOSA PENZI, WAHITJI MWENZI, HAUTAWAHI PATA MAHALA PENGINE EEEI EIII PENZI LANGU, NILIKUPA ROHO YANGU ULIAMUA SITOSHI MBOGA NA SASA WATAKA KURUDI KWANGU KUWA WANGU ILI MRADI UNIITE ASALI WAKO WA MOYO. WALIKOSA PENZI, WAHITAJI MWENZI, HAUTAWAHI PATA MAHALA PENGINE EEEI EIII PENZI LANGU, NILIKUPA ROHO YANGU ULIAMUA SITOSHI MBOGA NA SASA UNATAKA TUANZE TENA. WALIKOSA PENZI, WAHITAJI MWENZI, HAUTAWAHI PATA MAHALA PENGINE EEEI EIII PENZI LANGU, NILIKUPA ROHO YANGU ULIAMUA SITOSHI MBOGA NA SASA UNATAKA TUANZE TENA