Gaza - Mrembo lyrics

Published

0 233 0

Gaza - Mrembo lyrics

INTRO ANGALIA ANGALIA FIGA VILE YUKO, NGALIA SURA VILE IKO, ANGALIA MBELE VILE YUKO, ANGALIA NYUMA (MREMBOO) MREMBO NIMEKUSAKA TOKA ZAMO, KWANGU WEWE NDIO NEMBO PENZI LAKO NDIO JAMBO VERSE 1 (Ego) PENDO BABY GIRL NJOO KWANGU UWE WANGU KILA UTAKACHO UTAPATA KWANGU, ACHANA NAO WOTE NIMACHANGU, NIMEKUSAKA NAKUDATA WEWE,NJO TUCHEZECHEZE NITALICHEZA ZEZE KILA MTU ANAJUA MIMI WAKO WEWE WANGU,NJOO BABY NIPE DENDA NAKUPENDA, NJOO BABY DANDA DINGA TUNAKWENDA,WACHANA NA WAJINGA WANAJIDAI WANASEMA ATI MIMI SIFUNGI TAI,NGONZI YAKO NZURI RANGI YA PAI PAI MOHDY NA DULA WAMEVUA WALAI CHORUS MREMBO (NIMEKUSAKA TOKA ZAMO), KWANGU WEWE NDIO (NEMBO) PENZI LAKO NDIO (JAMBO) VERSE 2 (Wawesh Mjanja) (OOOYOOOO) YEERAH YEERAAH SHEGA PINA MZOOKA KANDO NIKO SHIIIIBA ITISHA BABY USIOGOPE KUMEIVA EEH KASURA YAKO PAMOJA NA FIGA TAMAA YA KUKUSHIKA, UREMBO WAKO UMESHINDA UMENIMALIZA, NJOO KARIBU WACHA EGO ATUPIGE PICHA BINTI WACHA NIKUWEKE KWA FB GRAM YA INSTA UKO TWITTER NIKUFUATE UNIPATE KA KA KA KA KAKABISA SI NGUMU KUPATA NI UJAGAJA JAGAJA ULIZIZA WAZUSHI MASELA MI NI JAGAJA JAGAJA UTAAMBIWA NA UTAAMBIWA UKISHAAMBIWA EEEE EE USHAJUA, MANAKE CHORUS MREMBO (NIMEKUSAKA TOKA ZAMO), KWANGU WEWE NDIO (NEMBO) PENZI LAKO NDIO (JAMBO) ANGALIA FIGA VILE YUKO, NGALIA SURA VILE IKO, ANGALIA MBELE VILE YUKO, ANGALIA NYUMA MREMBO (NIMEKUSAKA TOKA ZAMO), KWANGU WEWE NDIO (NEMBO) PENZI LAKO NDIO (JAMBO)