Gaza - Lala lyrics

Published

0 120 0

Gaza - Lala lyrics

Vers 1: Giza lime ingia Mpenzi uko wapi Natamani uwe na mimi Nawe uko mbali Uuuuuuwoooo Uuuuuuwoooo Chorus: Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala) Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala) Vers 1: Penzi nakutamani Nione sura yako Picha yako iko kutani Naiona kila siku Uuuuuuwoooo Uuuuuuwoooo Chorus: Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala) Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala) Bridge: Kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we Kila niki lala mimi nakuwaza we, kuota we Kila niki lala mimi nakuona we, kuota we Kila niki lala mimi nakuona we, kuota we Chorus: Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala) Unikumbuke mimi (uki lala) Uniwaze mimi (uki lala)