Gabiro dahiphop - Alama lyrics

Published

0 244 0

Gabiro dahiphop - Alama lyrics

Usiambiwe mtu men Usikubali jamaaa Wanajaribu kunipoteza kunitoa kwenye calender Mwili wanu huwa sawa Hey mama Sijawahi pata alama Hey bana Mapenzi kitu funny sana Hey mwna Sasa hivi nina alama Cheki bana ah ah cheki bana Skiza baby ukweli wangu na maana/mi ni leftie iyo alijua jana/aliniseti na uchungu niliskia bana/na we kipusa bado nakupenda sana/walinipiga na kunitesa sana/walinitusi na mimi sikuwatukana/ah-bado hatujatoshana,mi na wao hatujafanana/nimetamani kuchukia wao vijanaGabiro nakupenda msichana/mi na wao hiana haja kugombana/iyo siku roho zetu kutengana/unatambua mimi nao jo tuligongana/kila siku mi na wao tulipokutana/ili bidi mi na wao jo kuchapana/ndo mana sasa nimejawa na hizi alama Mwili wanu huwa sawa Hey mama Sijawahi pata alama Hey bana Mapenzi kitu funny sana Hey mwna Sasa hivi nina alama Cheki bana ah ah cheki bana Hey kipusa unanitesa sana mwana...na mimi pia ninashindwa na vijana/kijana skiza nikueleze kwa upana/mi mwenzako naogopa ma laana/wakichonga sisi bado tunafaana/siku moja tutakuja kuzaana/ata kama nimejawa ma alama/ninaogopa ma gharama/majukumu yaja niandama/maskini sina ata ndama/itabidi nimepanga njamaah/itabidi nmepanga njama ah/kupenda wengi imefanya shimo nikazama/kusikiliza imepita so wewe tazama/kuwaseti nimeacha ju naogopa ma laaana Mwili wanu huwa sawa Hey mama Sijawahi pata alama Hey bana Mapenzi kitu funny sana Hey mwna Sasa hivi nina alama Cheki bana ah ah cheki bana Sitawachapa baby nakuambia kwa furaha/sitawapiga baby,maisha jo ni safari nimeona wengi/darasani nimeenda kajifunza mengi/asante kwake jo mzazi umenikana mengi/ajali haina kinga na iyo sitopinga/usinione hivi mrembo ukaringa ringa/najaribu tu kujiepusha na ma ujinga/nipate nikiimba studio ninavunja winga/mi pia ningetaka jo ningewalinga/ma boy sita,ghetto tukawapita,wakakuita na mimi sikusita yaani afta siku sita jo kuanza vita na rada nikanyita/mapenzi yako siwezi cheza kwa guitar/nimejawa ma alama mwilini ju yako sinyorita ah Mwili wanu huwa sawa Hey mama Sijawahi pata alama Hey bana Mapenzi kitu funny sana Hey mwna Sasa hivi nina alama Cheki bana ah ah cheki bana Sitowachapa baby...sitowapiga baby...ninasema sitowagonga baby Nawasamehe kama mnyama ana-argh