Ethan Muziki - Giza lyrics

Published

0 232 0

Ethan Muziki - Giza lyrics

{Intro} He Madem Acha tu Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Woi woi woi woi no no Story time, Ethan Muziki time {Verse 1} Nikiwa rima, nilipatana na msichana malaika Mrembo tukiwa pale umoja Tukitoka shule mikono pamoja My first crush, we lost touch High school nikapelekwa ocha Lakini bado niliwachocha, nikawachota Kuingia campo Nikasema nitasoma nitashindaga daro Asubuhi walevi kwenye mtaro Anasa na hizo pesa za karo Na bado nakimbizana na Caro Silver tongue, nilipatiwanga Lugha lazima angeitana Bingo, nimeshapata mama Ako singo, lakini condition {Pre-Chorus} Anataka attention, anataka vacation Me niko na noti ya leo mbaka kesho Attention, tena vacation Hawezi Kuwa naughty bila compensation {Chorus} Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Akina dada Giza Nilikosea {Verse 2} Nika-tarmac tarmac after campo Tafuta job acha story za warembo Oh no, it was never easy Hauwezi sample, wote umalize I met so many ladies Tukakunywa pesa za deni Kama hausafishi nyumba Chunga usiite wageni Siku nyingi zikapita sana Kabla penzi ikabisha tena Huyo dem alinionyesha Mambo Maisha hainga praco Dem wako ni wako akiwa kwako Akitoka anakuzungushaga circle Sako kwa bako ako na mwenzako Wanacheza tapo {Pre-Chorus} Anataka attention, anataka vacation Me niko na noti ya leo mbaka kesho Attention, tena vacation Hawezi Kuwa naughty bila compensation {Chorus} Kweli akina dada, wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Kweli akina dada, wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Akina dada Giza Nilikosea Labda wan*lipiza {Bridge} (Woi woi woi ona) Simu siku hizi ndio adui Chunga usichizi vitu hujui Ndio maana siku hizi mi sikagui Nilishafundisha Utazungushwa sana {Chorus} Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza Kweli akina dada wamenionyesha giza Ama nilikosea labda wan*lipiza