Elani - Milele lyrics

Published

0 1969 0

Elani - Milele lyrics

[Verse 1:Wambizzy] Malenga wa kubadili zao nia, Kama una masikio sikia, Usije basi ukapuliza gunia, na wenye roho nyepesi watasengenya, hawatatuombea, na mi nishakupenda wee kwa wazazi nikupeleke, na mi nishakupenda wewe..... wewe [Bridge] la la la la la la la la la là la la la la la la la la la la la la la la la la la la la la la la [Hook] Subira jaribu kuivuta leo, Subira jaribu kuivuta eeeeeh, Subira jaribu kuivuta leo, Subira jaribu kuivuta leeeeoooo... [Verse 2: Maureen] Bagua, bagua, utabaguliwa, Pokea utakubaliwa, Tabia tabia, imani ndiyo njia, nimeamua nikupende, Watu wasitenganishe, Niwe wako milele, juu mi nishakupenda wewe, kwa wazazi nikupeleke, mi nishakupenda eeeeeh [Bridge] [Hook] [Hook]