Dunga - Let's Wait lyrics

Published

0 247 0

Dunga - Let's Wait lyrics

[Intro] Ugh its the talk of the town cla**ic (ha ha ha ha) Lamar! Fish Crab Cook out Do you know what we have bee? (Lets wait a while) Cindy Rulz, DG A Fish Crab presentation Auuuuuu! [Verse 1: Cindy Rulz] Nimeanza kuku-feel we since day 1 Nikikuona kama madini ya mererani Unavyong'aa ukweli you are my number one Akili umeiteka daily upo kichwani Ha! Lakini inabidi usubiri hun Cuz muda sio right now so please let's wait a while Na najua unajiuliza lini nitakupa punani Hhahah but baby you know wagwan Na nikwambie kitu you are always on my mind Lakini baby me naumia Kuwa nawe siwezi kusubiria Nikiwa nawe nakua high bila bia I think of you while I lie in my bed And wonder if there's anything I could have said… Ah we, kama nimekosa nisamehe [Hook: Dunga] Let's wait a while (Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so) Let's wait a while, my baby Let's wait a while (Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so) While while while, my baby [Verse 2: Cindy Rulz] Think about it boo Bado niko school I really like you But I don't wanna hurt you Na moyo wangu uko kwako tu Nakomaa tu mpaka nifike chuo kikuu Usione mbali kwangu ni kama kesho tu Na tutaenjoy real love lile lililo true Ah don't worry boo Cuz the truth is, I really need you Tatizo mwenzako nina vitu vingi Na kesho naingia kupiga pindi Umri mdogo msala akijua dingi Nataka kua nawe hilo sipingi Si unakumbuka them times shule ya msingi? You're my everything kwako sitaki bling Naomba unisubirie muda si mwingi Kwani nataka kua nawe hilo sipingi [Hook] [Bridge: Both] Naomba unisubirie eeh eeh (Naomba unisubiri) Wewe papi*2 (Siwezi) Siwezi kwenda kwa mwingine Let's save this for later Our love can be greater [Hook]