Duke & Songa - Uongo lyrics


Intro:
Duke Tachez
S.O.N.G.A
Tamaduni Muzik

[Verse I: Songa]
Ayo karibu, kwangu ikulu ghetto
Obama kanicheki, anataka ni zuru kesho
Niende pande za huko, niondoe mshtuko
Ana wasiwasi, Osama yuko huku keko
Huh, hii ni hatari bro
Wala siende, ngoja nipitishe chai kwa koo
Pembeni mapokopoko, makulaji
Chapati kubwa kama round about ya kariakoo
Wanauliza vipi eti
Wamesahau kama, huwa nakula msosi wenye nembo ya TBS
Ni kama nina undugu na pesa
Haki ya Mungu, waweza pata uchungu kwa presha
Wazungu wanakesha
Wanipige juju, wanachekesha ni ka kukuta mzuzu kwa Texas
Na wala sio uzushi kwa street
Muulize Duke, mi huwa naingia boothe na kiti

Hook:


[Nasema Uongo, ili Uongo uwe kweli Uongo
Na ukiwa Uongo, ni kweli Uongo] x4

[Verse II: Songa]
Nailipa sirikali
Na tambua nahusika, kila usikiapo dili kali
Rasilimali, na miliki nasambaza huduma clear
Kama nina digitali
Usitake ni kimbia, nna pesa
Nime ajiri majambazi ili waje kuniibia
Umaskini bye bye
Nagawa connection, hata kama una wi-fi
Michuzi ninayo, wapuuzi ambao
Wanajifanya Gangsters
Wanatembea na mbwa mi huwa natembea na mbuzi kibao
Na bado sija-loose mafao
Nikiwa club, mitungi, si dundi
Na kama unapita unapunga, si pungi
Usiumize sana kichwa kama una __ kwa ubongo
Tambua tu huu ni uongo

Hook:
[Nasema Uongo, ili Uongo uwe kweli Uongo
Na ukiwa Uongo, ni kweli Uongo] x8

Correct these Lyrics