Dj Mchungwa - Ndivyo Nilivyo lyrics

Featuring ,

Published

0 288 0

Dj Mchungwa - Ndivyo Nilivyo lyrics

[Rykim] [Intro] Mo Tz uyapenga kakhulu umfowethu [Verse 1] Ndivyo nilivyo nazidi kunyonga Ndivyo nilivyo nazidi kusonga Ndivyo nilivyo nazidi kupanga Ndivyo vilivyo viliumbwa na muumba Ndivyo walivyo kuroga kama wanga Sisi tulivyo hatushiki manyanga Check vinanda vyazidi kubranda branda Ndivyo tulivyo maisha ni zali Pata kukosa twazidi kusali Kama ajakupa usitake kupanic Pan' pan' panic Nataka mazuri I'm doing it for good Namake my life kwa bidii Heshima kwa muumba naichanganya rumba Kwa trap narap sipingi Mazuri ni mengi Majungu sipendi Yana mirangi Kama maisha ni draft na mimi ndio king (Habari gani) [Bridge] Wadada wakali wakiniona kaudenda katoka (Ndivyo nilivyo) Sichoki kufata nachanga karata nakata (Ndivyo nilivyo) Upuuzi sifanyi kiburi nazidi kuchapa (Ndivyo nilivyo) Upuuzi sifanyi kiburi nazidi kuchapa (Ndivyo nilivyo) [Hook] Score! Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (hah-haah) Mshike mkono barada (hah-haah) (Awe Aww Awe Doh! Steezy Majavas uyabona manje s'qala s'qeda Eh! Bako rapper bako records) [Verse] Hawa marapper hawako na visa Sasa nataka kupaza mavita Sasa nataka wa choresha magiza Na sasa naangaza mwangaza Muda umezidi kudolo Nikaanza kutype michoro Nikaanza maandishi ya solo Nikaanza kuchora michoro Nazidichoresha natamba natesa Sichoki kusaka nasaka masifa Ndio nasaka sitaki kusota (Sitaki kusota) Mimi ni rapper Mimi ni nani? Mimi ni Rapper (Habari gani?) [Bridge] Wadada wakali wakiniona kaudenda katoka (Ndivyo nilivyo) Sichoki kufata nachanga karata nakata (Ndivyo nilivyo) Upuuzi sifanyi kiburi nazidi kuchapa (Ndivyo nilivyo) Upuuzi sifanyi kiburi nazidi kuchapa (Ndivyo nilivyo) [Hook] Score! Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (hah-haah) Mshike mkono barada (hah-haah) [Dj Mchungwa & Rykim] [Dj Mchungwa] Hizi swagger Swagger Daily watu wanadelay [Rykim] Mchungwa & Rykim on the beat flaw [Dj Mchungwa] Hizi zaga zaga ndizo zangu everyday... Love, Rose, Looses ye'tatizo ndio tatuzi Songa mbele, Haina kwele, Pesa mbele (Hah-haah) hivi wewe huoni gele Jinsi nilivyo kama mbelr Mshike Mshike, Kama vipi akatike Umuite... [Hook] Score! Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (Hah-haah) Mshike mkono barida (hah-haah) Mshike mkono barada (hah-haah) [Outro] Twende ughay' (Haybo) Twende ughaybun (Haybo) x4 S'cabanga kakhulu ngemiculo yethu Thank you for reading Support good music Rykim ft. Dj mchungwa Prod. by Bako mo tz Available on mdundo.com Soundscloud.com Youtube.com