Diamond Platnumz - Sijaona lyrics

Published

0 815 0

Diamond Platnumz - Sijaona lyrics

Agaah! Ati niende kwa mganga Ntoe doti za kanga Ama nikufunge kamba Ntadanganya mie eeh! Aah! Nyumbani nifuge mamba Mara mlinzi kwa panga Kuchunga usije danga Uwongo nisikwambie Hhhmm! Moyo wangu Usiufanye njia ooh! Ukapita Ooh! nitaumia Shamba langu Wakanivunia Ooh! Yote tisa Ukanibeza na kukimbia Tena unga ujengezi Usitishe na sanaa Ukaninyima malezi Nikakosa hata raha Aah! Nikaanza kuvunja nazi Kutwa kuchwa kafara aah! Nililie kipenzi Yakukunda Ooh! Karaha Ooh! Sijaona SIjaona Sijaona Kama wewe Hhhmm juwa mimi Sijaona (Sijaona mimi) Sijaona (Sijaona bado) Sijaona Kama wewe Hhhmm Aaah! Refa kapiga kipenga Ronaldo punguza chenga Kuku tulia kwa tenga Mbwembwe tupa kule Aah! Na upunguze kujiremba Wasije wakakupenda Kuna warabu wapemba Ukanisusa bure Nisiwe napata tabu Chemsha mawe Kumaliza kuni eeh! Kumbe kung'aa dhahabu Kuichoma sio sabuni Nishajipaga moyo Wewe ndio mwisho wa reli Basi jifunze choyo Wasije nikejeli Uwezo wangu wa toyo mie Sijafikia meli Acha wacheze loyal Sie kwetu singeli Ooh! Moyo wangu Usiufanye njia ooh! Ukapita Sana nitaumia Shamba langu Wakanivunia Ooh! Kesho wakaja kukuteka Na matusi kunitupia Juwa mwenzako mimi Ooh! Sijaona (Bado mimi) SIjaona (Mwenzio mimi) Sijaona (Sijaona) Kama wewe Unajua mimi Sijaona (Unajua mimi) Sijaona (Sijaona mimi) Sijaona Kama wewe Agah! Hasa Mose Kunambi Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Agah Mkubwa Fella Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Agah! Tiffah Dangote Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Agah! Makame Fumbwe Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee) Alele (Alele Alee)