Diamond Platnumz - Pamela lyrics

Published

0 474 0

Diamond Platnumz - Pamela lyrics

Kwanza kako s** Pamela! Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date Pamela! Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni karate Pamela! Vurugu kama show za Manfongo Navopenda deki Pamela! Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo Eeeh! Katoto katamu tamu Kanapenda pipi na chewing gum (Anhaa!) Kimoko nacum cum Kitanda kwichikwichi Ni Bum Bum (Anhaa!) Eeh! Oh najua maana ya penzi burudani Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Aaaah yeah! Pamela! Oooh! Oh! Oh! Pamela! She is hotter than fire Pamela! Ukimuona utagwaya Pamela Zigo lazima ntafire Pamela! Na kapenda ile mbaya Pamela! Aiiiy!! Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! Pamela! Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh! Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! Pamela! Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh! Nilikutana nako Mbagala Kwa kina Lufufu Mkandala Mtoto mwali kidandala Mtamu kwa nguna na sangala Ooooh naa! Anavyopose mchokozi Nikiwa namwaga dose Napocheza na ngozi Hunikosi Pamela! Mpaka majonzi kwa njozi Utamu kwa utosi Sinaga ubitozi Ni konzi Pamela! Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh!) Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Eeeeh yeah! Pamela!(Pamelaa) Oooh! Oh! Oh! Pamela She is hotter than fire Pamela Ukimuona utagwaya Pamela Zigo lazima ntafire Pamela Ooh nakapenda ile mbaya Pamela Huh! Mwenye mdomo wa kulamba koni Napozi za picha Na moyoni nimekuficha Picha ya mapicha picha Wazushi wanayonipa nipa Hayaumizi kichwa kichwa Wala kunitisha Usije nikatisha mood (Mood) Kwa kufanya kusudi (Kusudi) Ukaanza tena usiku na mchana Ma nenda rudi (Rudi mama) Kifuani sita Tumbo hauna Na ukikatika Ndio kabisa Naumwa (Heheheh) Njoo tucheze kibaku baku Pamela! Tuwakomeshe manyaku nyaku Pamela! Ukate taratibu yani nyatu nyatu Pamela! Kitandani unimeze ile kichatu chatu Sikufichi Namiss kumuchezo kako kila mara Na ndio maana Huwa napita pekupeku Bila Ndala Show ndefu kwa body Nang'ala Ng'ala Navuruga shape Mwisho unabaki unagalagala Msodoki...! Eeeh Eh! Pamelaaaa! Oooh oh! Pamela! She is hotter than fire Pamela! Ukimuona utagwaya Pamela! Zigo lazima ntafire Pamela! Na kapenda ile mbaya Pamela! Nakupenda sana Eeeh! Eeeh!