Diamond Platnumz - Nikuone lyrics

Published

0 619 0

Diamond Platnumz - Nikuone lyrics

Hhhmm Mangapi niliona Wala sikujali Nikafumba macho Hhhmm! Na tena yaliyonchoma Maumivu makali Manyanyaso Hhhmm! Si mzima wa nafsi Siwezi kudanganya Uwepo wako Unanifanya nalia Fanya urudi basi Japo kuntazama Oh! me mwenzako Ukweli naumia Kinachiniongeza kizunguzungu Hata huniwazi Kutwa nakesha nikimuomba Mungu Wallah simanzi Kinachoniongeza mawazo Hata huniwazi Kutwa nakesha nikilalamika Njoo basi nikuone Nikuone (Nikuone) Nikuone (Nikuone) Nikuone (Nikuone mama) Ukowapi nikuone Nikuone (Nikuone) Nikuone (Japo nipone) Nikuone (Niiiikuone) Ooh na roho yangu inaenda Manjegere Manjegere Manjegere Aah roho yangu Manjegere Manjegere Manjegere Nimekukumbuka sana ooh! Manjegere Manjegere Manjegere Mwenzio roho yangu Manjegere Manjegere Manjegere Hata silali Kutwa nzima nawaza Kisa nini darling Kama sikukupa raha Bado sijajua Namaliza naianza Nijapo tafakari Njoo uniwashie taa Kiza kitaniua Muda mwingine nakesha tuu macho Usingizi sina Ikinijiaga tu sura yako Huwa nazizizma Mpaka nashikwa Kigagaziko hata maneno kuyaongea Yote sababu ya masikitiko Haki ya Mungu unanionea Kinachiniongeza kizunguzungu Hata huniwazi Kutwa nakesha nikimuomba Mungu Wallah simanzi Kinachoniongeza mawazo Hata huniwazi Kutwa nakesha nikilalamika Njoo basi nikuone Nikuone (Nikuone) Nikuone (Njoo basi Nikuone) Nikuone (Nikuone mama) Ukowapi nikuone Nikuone (Nikuone) Nikuone (Eeh Eeh eh nipone) Nikuone (Niiiikuone) Ooh na roho yangu inaenda Manjegere Manjegere Manjegere Aah roho yangu Manjegere Manjegere Manjegere Nimekukumbuka sana ooh! Manjegere Manjegere Manjegere Hhhm me Mwenzio roho yangu Manjegere Manjegere Manjegere Hata silali Niliyoyasikia ya leo Makubwa..! Afadhali ya jana Makubwa..! Huwaga naona kwa video Makubwa..! Aaah Ah! Ni mazito mama Niliyoyasikia ya leo Makubwa..! Afadhali ya jana Makubwa..! Huwaga naona kwa video Ooh na roho yangu inaenda Manjegere Nimekukumbuka sana ooh! Manjegere Manjegere Manjegere Hhhm me Mwenzio roho yangu Manjegere Manjegere Manjegere Eeeh Eeh! Hata silali