Diamond Platnumz - Niache lyrics

Published

0 799 0

Diamond Platnumz - Niache lyrics

Hhhhmm Eti nikuombee mema Na baraka uzidi fanikiwa Siwezi kamwe wala (Hhhhmm) Ni sawa na kuiforce sinema Kuitazama na haijanivutia Lazima tu ntalala (Oooh) Na kwa barabara ukipita Nenda kulia ukiniona kushoto Sitaki hata tuonane (Hhhhmm) Usije wala ukaniita Donda vilia utanchochea tu moto Nisije nkutukane (Hhhhmm) Kinachoniumiza nafsi Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha Mwenzangu Nje unayatoa Wewe cement mimi mchanga Nkasema Penzi tujenge lisije loa Najitia mkandarasi naezeka mabati Wewe chini kenchi unabomoa Niache! Niache! Niache! Oh Niache Niache! Nipambane na moyo wangu Niache! (Niiaaa....!) Niache! (Moyo wangu una hasira) Niaache! Oh Niache Niache! Oooh Oh! Najitahidi nisilale kwenye kitanda Huenda ntapunguza ndoto zako Hhhhmm Mwilini nina machale utadhani mwanga Yote kuusahau uwepo wako Hhhhmm Laiti kama ningekuwa gari Ningekugonga barabarani Ama nyuki mtoa asali Nkung'ate sura wasiitamani Hivi wewe ungo ulivunja mwali Ama ulivunja sahani Kuniundia mateam kwa mitandao Vijembe vya kazi gani Kinachoniumiza nafsi Kunisikitisha kwa watu Kujishongondoa Kumbe mapenzi Hisabati wakati nayazidisha Mwenzangu Nje unayatoa Wewe cement mimi mchanga Nkasema Penzi tujenge lisije loa Najitia mkandarasi naezeka mabati Wewe chini kenchi unabomoa Niache...! Oooh Niachee Niache...! (Mimi moyo wangu una hasira) Niaache...! (Tena ukae mbali) Niache...! (Oooh Niachee) Niache...! (Usiwapigie rafiki zangu) Niache...! (Usithubutu hata simu yangu) Niaache...! (Chonde tafadhali) Niache...! (Niiaaa...!) Iyoo Lizer Hhhhmm Ntakudanganya kwa tabasamu Ntakudangany kwa kucheka Ntakudanganya hata kwa salamu Ila moyoni nakuchukia Nitakudanganya kukufollow Nitakudanganya kucomment Nitakudangaya kulike picha Ila siwezi kukuzimia Mxiuuuu