Diamond Platnumz - Ukimwona lyrics

Published

0 2186 0

Diamond Platnumz - Ukimwona lyrics

mmmmhhhh Mungu aliumba dunia mapenzi tangu na tangu yashanipiga sasa sinabudi nielewe siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu japo nishida ila, nitabaki mwenyewe ohh ila , mpe shukrani kwa kuniumiza suraya mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu na asisikie kisirani, hukumu ya mapenzi mabaya hata ungali hai kayruki usingetibu gonjwa langu kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) sina amani nasaga rumba (rumba) ohh unani dunda sema chine tembee moyoo unanidunda dunda (mamii moyooo) sina amani nasaka rumba (oohh mimii) ohh unani dunda eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona ukimuona ukimuona ukimuona ukimuona ukimuona we nenda mwambie marafiki, marafiki wabaya tena wengi waongo, hawawazi ndanganye oya ni mashoga rafiki, oohh marafiki wabaya oooohhhh oooohhh mmmmmhhh tatizo mi bado, nilipoteleza nkakosa sipajui mpaka akafunga virago, na akaamua kuondoka sitambui ubaya, kinacho niumiza, maneno neno maneno mara kwa ndugu rafiki, kwanini anawapa misemo najaribu papasa, mbona ka macho ataona chochote ila ndo kutwa mikasa, na nazidi kuanguka, niokote kutwa nzima moyo unanidunda dunda (dunda) sina amani nasaga rumba (rumba) ohh unani dunda sema chine tembee moyoo unanidunda dunda (mamii moyoo) sina amani nasaga rumba (ooohh mimii) ohh unani dunda eeeeeeehhhhhhhhhh ukimuona ukimuona, ukimuona ukimuona, ukimuona ukimuona