Diamond Platnumz - Sikomi lyrics

Published

0 2452 0

Diamond Platnumz - Sikomi lyrics

{Verse 1} wanasemanga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea niliposikia gabari yakisifika nikakesha nangojea ah Akabariki jalali na nikawika muziki Nikautea Ile kumpaka maka Nikajia ndio kwa gomo movi Kumbe mapenzi hayataki haraka Nikama tango natia tu chumyi Mwenzenu nikaoza haswa na kuitia kitandani mjuzi Eti nataka fukuza paka Badala ya mbwa nikafuga mbuzi mmh wivu ukanifanya nikagomban na marafiki ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki Moyo ukanambia Naseeb sasa mapenzi basi Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Esma ananambia mdogo wangu mapenzi basi Ila nang'ang'ania nikiumizwa na huyu kesho mwingine {cHORUS} Ooh mboni sikomo sikomi sikomi Richa ya mateso haya Najiuliza oh sikomi Oh sikomi mbona (Sikomi) Mbona jamani sikomi Licha ya mateso haya ah mmmh {Verse 2} Aliyonifanyia wa central Akia-mungu siyawezi sema Ila nimejifunza kesho siwaamini sinema Moyo walinipatia mateso Siwezi kumeza siwezi tema mana sikushanga ile ghafla toka ccm kwenda chadema wanasema kitanda ukitandika sharti ukikalie nikajitia ukamanda yatakwisha wacha nivumilie kilakiza kikitanda ndo visa machozi mi nilie Penzi yakatia parapanda Kuwaita waje washambulie aah acha na penny we darling nilomuhongaga gari aliponambia ana mimba mwisho wa siku akaich*moa chali Molah akanitunuku Zari Akanizalia dume na mwali Nilivomjinga nika-cheat aibu mpaka Kwa vyombo vya habari Moyo unanambia Naseeb sasa mapenzi basi Ila nag'ang'ania najaribu kuipinga nafsi Laizer ananambia simba mapenzi basi Ila nang'ang ania nikiumizwa na huyu kesho na mwingine {Chorus} Ooh mboni sikomo Mbona Sikomi Mboona jamani sikomi Licha ya mateso haya Nishafumaniwa oh sikomi Nikafumaniwa mimi(Sikomi) Nishapambana na watu (Sikomi) Licha ya mateso haya ah {Outro} Mateso mama Ayo Laizer