Diamond Platnumz - Salome lyrics

Featuring ,

Published

0 1629 0

Diamond Platnumz - Salome lyrics

[Verse – 1] Kioo akidanganyi mama umejipodoa umepodoka Mwendo na shepu vyote mwanana Mimi suruari yanidondoka Tukimbizane nini salome wangu? Iyo michezo ya jogoo Mbona watizama chini salome wangu Ukimuona jongoo Inama kidogo shika magoti Nimesimama kama ngongoti Mtoto jojo sio roboti Chumbani bingili bingili sambasoti [Hook/Chorus] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe [Verse – 2] Utamu kolea aprokoto Ting’ari ting’ari ndani kwa moto Nitamnyongea msokoto Niteme sumu kali kama koboko Eeeh Mapenzi yananipa shida Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba Tiba bwana usije baby kanicharanga Kanichambua moyo kama karanga Mie baby kwenye msambwanda, huwa siendagi ngenge ni nganganga. [Hook/Chorus] Unanitekenyaga ukinyonga salome Unanitekenyaga ukinyonga Unatikenyaga ukinyonga kweli Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha! Hoera makulu vane, hoera ngambe Hoera na Zari, hoera ngambe