Diamond Platnumz - Nitakukumbuka lyrics

Published

0 3498 0

Diamond Platnumz - Nitakukumbuka lyrics

Verse 1 Ooooh Ah Ale tate tate Ah Kinachoniuma ni mazoea Kunifanya nikeshe usiku na mchana Ah Au mate au mate Ah Mbele na nyuma nikingojea Huenda ikabadili mfupa kuwa nyama Ooh siri yangu siri Bado natunza iwe yangu Siri yangu Japo kuwa natamani kusema Wachache Bado naisubiri Mola hajanipa zamu yangu Aah Huenda utanikumbuka siku unifuate Ah Moyo kama nguo ukausasangua Kwa moshoga zako Ukaacha funguo Kwa kujishebetua ukaenda zako Moyo kama nguo ukausasangua Kwa moshoga zako Ukaacha funguo Kwa kujishebetua ukaenda zako Chorus Aah Rudi mama eeh Nakukumbuka Nakukumbuka eeh Nakukumbuka Mwenzako silali eeh (x4) Verse 2 Ah Niacheni mie Kinachoniuma ni mazoea Mie Siwezi kuficha nimekuzoea Mie Kinachoniuma ni mazoea Mie Siwezi kuficha nimekuzoea Hali yangu si shwari Mda wowote huenda naja (huenda naja) Fanya uje na daktari Tena ikibidi waganga (waganga) Na matafuta hodari Kutoka binga na tanga Wale nguli machachali Wapiga ndele kwa vanga Ooh ooh Hizi furaha za duniaa Mamaaa Ziko tangu vile iliaa Mamaaa Njoo nakusubiriaa Mamaaa Ona hata nakuimbiaa Mwenzako silali Chorus Aah Rudi mama eeh Nakukumbuka Nakukumbuka eeh Nakukumbuka Mwenzako silali eeh (x4) (x2)