Diamond Platnumz - Nataka Kulewa lyrics

Published

0 605 0

Diamond Platnumz - Nataka Kulewa lyrics

We niache niende niende! niende niende! Niache niende niende, niende niende! (verse1) Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina Oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Na nina mengi, ah yamenikaa moyoni (chorus) Leo nataka kulewa, Lewa! Mi nataka kulewa, Lewa! Nataka kulewa, Lewa! Zikipanda nimwage ardhini Nataka kulewa, Lewa! Mi nataka kulewa, Lewa! Nataka kulewa, Lewa! Zikipanda nimwage ardhini We niache niende niende!, niende niende! Niache niende niende, niende niende! (verse2) Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa Kukata vilimi limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu unajisumbua Si tuko kama ishirini, mabuzi ving'asti wengine anawahonga Oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina Oh mapenzi, [mapenzi] yalinifanya kama mtoto nilie vibaya Na nina mengi, ah yamenijaa moyoni (chorus) Leo nataka kulewa, Lewa! Mi nataka kulewa, Lewa! Nataka kulewa, Lewa! Zikipanda nimwage radhi Nataka kulewa, Lewa! Mi nataka kulewa, Lewa! Nataka kulewa, Lewa! Zikipanda nimwage ardhini We niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende! Niache niende niende, [Kulewa, kulewaa] niende niende! [Kulewa, kulewaa] [Kulewa, kulewaa] [Kulewa, kulewaa]